Wednesday, March 26, 2014

WABUNIFU WAMEISHA ANZA KUBUNI HEBU TAZAMA HII.

Baada ya ile ndege ya Malaysia Kupote inayojulikana kama MH370 na kuwepo habari kuwa imezama katika bahari ya Indi hatimaye wabunifu wameanza kubuni kumbukumbu ya kuwakumbuka (kana unavyoona picha hapo juu) abilia zaidi ya 200 ambao wanakadiliwa kuwa walikuwemo ndani ya ndege hiyo na taarifa zinasema huwenda wakawa wamepoteza maisha wote.


No comments:

Post a Comment