Monday, March 24, 2014

MJUMBE WA BUNGE LA KATIBA MIKONONI MWA POLISI KWA KUONGOZA MAANDAMANO.

Mbunge wa jimbo la Nzega mkoani Tabora Dkt Hamis Kiwangala(mwenye shati jeupe) Pichani ambae pia ni Mjumbe wa Bunge la Katiba linaliendelea mjini Dodoma Jana alitiwa Mikononi mwa vyombo vya Usalama hususani Polisi baada ya kuongoza maandamano ya wachimbaji wadogo wa  machimbo ya Mwashina wilayani Nzega mkoani Tabora.

 


No comments:

Post a Comment