Monday, March 24, 2014

KWA WAPENZI WA SOKA HIVI KWELI HAKUONA ALIESHIKA MPIRA?

Kwa wale mashabiki wa Soka na hasa soko la nchini Wingereza Hususani Ligi kuu ya Nchi hiyo Katika mechi iliochezwa Jumamosi kati ya Chalsea na Arsenal kunatukio lililotokea Baada ya mchezaji wa Arsenal ambae akushika mpira kupewa kadi Nyekundu na alieshika hakupewa Je kweli lefa hakuona na je aliekuwa akiongea nae kupitia maic wanazovaa akumwambia alieshika?mbona aliambiwa ameshika?


No comments:

Post a Comment