Saturday, September 14, 2013

HUYU NDO MNYAMA MWENYE SURA MBAYA DUNIANI.

Unaweza ukaona kama ni vichekesho flani hivi lakini ndo Duniani mambo yalivyo baada ya Aina hii ya Samaki anaejulikana kama BLOBFISH kuibuka mshindi wa Mnyama mwenye sura mbaya Duniani baada ya kuwashinda wanyama kama Sokwe,Nyani,Tumbili na wengineo kwa Mujibu wa kura zilizopigwa. (PUBLIC VOTE)Ungly Animal Preservation Society.

JE?WEWE UNGEPATA BAHATI YA KUPIGA KURA UNGEMPIGIA NANI KUWA MNYAMA MWENYE SURA MBAYA.........!!!TUNAWATAKIA MAPUMZIKO MEMA YA WIKENDI WASOMAJI WETU.


No comments:

Post a Comment