Friday, September 20, 2013

RONALDINHO GAUCHO AYALEKEBISHA YALE MENO YAKE (PICHA).

Mchezaji mzaliwa wa Brazil Ronaldinho imelipotiwa ameyafanyia meno yake ya mbele oparesheni ya kuyalekebisha kwa kiasi cha euro36,000 katika clinic ya Meno mwezi uliopita.Habari hii ililipotiwa Mwezi uliopita lakini Picha hizi zikimuonyesha mchezaji azikutolewa kipindi hicho na zimetolewa siku mbili zilizopita mitandaoni.Mchezaji huyo huyo ambae huwa utabasamu wakati wote sasa anaonekana meno yake yako sawa na kuzidi kulipendezesha Tabasamu lake.

Legendary Brazilian footballer Ronaldinho said goodbye to his trademark buck-toothed smile sometime last month, as he underwent surgery to correct his dentition.
The 33-year-old, who currently plies his Samba skills for Atletico Mineiro, can be seen having his teeth corrected at an orthodontic clinic in Brazil.
It was reported last month that the World Cup winner had undergone surgery on his teeth, but video and pictures of the procedure have been published today.
If the glamorous presenter is to be believed the procedure will set the party-loving Brazilian back to the tune of around £36,000 – a small fortune but a sum which one of the world’s previously highest earning players can no doubt afford.

No comments:

Post a Comment