Monday, June 10, 2013

JOSE MOURINHO AMEANZA KAZI RASIMI KWA KUZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI (PICHA)

Baada ya kuingia katika chumba cha mkutano na waandishi wa habari alionyesha jezi ya chelsea kuashilia sasa ndie meneja mpya wa timu hiyo tayari kuanza kazi.
Hawa ni baadhi ya waandishi wa vyombo vya habari walioudhulia inakadiliwa yapata vyombo 300 vya habari viliudhulia mkutano huo.
Hapa ndipo alipokuwa ameandaliwa kwa ajili ya maojiano na waandishi wa habari.
UKUMBI ULIVYOSHEHENI WAANDISHI WA HABARI.
"NINAFURAHA SANA KUWA KATIKA CLUB HII"
The boss
Kweli wali kumiss waandishi wa habari wa kingereza full kusubili kamera stand bay unaweza ukahamini na ya blog hii ilikuwepo?ha!ha! Digital Dunia kama kijiji.
Na kama ulikuwa ujui hii  ndo jezi mpya ya chelsea  kwa mechi za Nyumbani ukiwa umeshikiliwa na JOSE MOURINHO THE SPECIAL ONE "THE BOSS"

No comments:

Post a Comment